Dondoo muhimu kuanzisha hii biashara
- Uwe maeneo yenye watu wengi.
- Laptop ama Desktop moja.
- Uwe na ujuzi kidogo wa computer (cisco certificate miezi sita).
- Uwe na mtaji wa kununua vifaa vya wireless (laki tano inatosha kuanzia),
- Kufunga mtambo.
- Chagua kampuni utakayonunua Bando yenye kubwa mfano TTCL, HaloTel, Smile
- Kujitangaza kwa watumiaji.
- Kumiliki watumiaji kutokana na ada wanalipa
Tayari unaweza kuanza kuuza data(internet kwa watu).
summary ya faida
- eneo dar es salam
- bando TTCL kwa mwezi 80000TSH unlimited
- idadi ya watumiaji 300
- ada ya huduma kwa mwezi 4500Tsh (150Tsh tu kwa siku RAHISI SANA)
kwa mwezi 300*4500 =1.350,000Tsh kutoka kwa watu 300
Imetolewa na nternetworldstats