Kila mtu anapenda kuona nguo zake ni safi na nadhifu.Kuanzisha kituo cha mashine ya kufua nguo ni wazo zuri kama upo mjini.Hii ni biashara endelevu kwani nguo zinachafuka kila siku na ni biashara yenye faida sana.
Dondoo muhimu kuanzisha ya kufua
* Chagua sehemu yenye watu wenye kama mjini na maeneo ya vyuo vikuu.
*Mashine ya kufulia, driya