HATUA NNE YA KUANZISHA BIASHARA YA MPUNGA
Ili kuanzisha biashara ya mpunga unatakiwa kufanya yafuatayo.
Jinsi utakavyopata mpunga kutoka kwa kulima.
1.Hii ni hatua ya kwanza jinsi gani utapata mpunga kwa bei ya chini kabisa ikibidi moja kwa moja kutoka kwa mkulima ili uweze kutengeneza faida.Sehemu kama Tanzania mpunga unapatikana Mbeya, Manyara, Shinyanga na kadhalika, Kenya ni Mwea, Central Kenya na kadhalika, uganda ni Gulu town katika sehemu hizi mpunga unapatika kwa bei rahisi sana.
2.Mtaji
Je nikiasi gani ungependa kuanza nacho kama mtaji wa kununua nafaka hii na gharama nyinginezo kama usafiri na ghala(ni muhimu kuhifadhi wakati upatikanaji ukiwa mkubwa na kuuza wakati wa mapungufu).
3.Usafirishaji
fikiria jinsi utakavyo safirisha kutoka kwa wakulima mpaka eneo husika ama kwenye ghala kisha panga bei ya kuuzia