Dondoo kuanzisha kampuni ya usafi
*Kuwa uwezo wa kuratibu mambo(organization and management)
*Mtaji kwa ajili ya kununua vifaa vya usafi na makoti/tisheti ya kampuni yenye nembo pia akiba kwa ajili ya kuendesha kampuni
*Maelezo ya huduma inayotewa na kampuni yako kwa ufasaha.
* Vijana wa kuajiri
*sajili kampuni yako
*ofisi kwa ajili ya kampuni