Mfumo wa biashara unabadilika kila kukicha Mshauri masoko wafanyabiashara na watengenezaji wadogowadogo kuwaunganisha na wafabiashara wakubwa na kutambulisha bidhaa na huduma zao.Kama unajua kuongea vizuri kuhusu bidhaa na biashara za watu wengine hii inakufaa sana.hata makampuni makubwa walianza na Mshauri masoko kwa daraja wa kuunganisha kampuni zao na makampuni makubwa.wewe kama mtu wakati utakuwa unachukua asilimia fulani kwa kila mauzo yanayopitia kwako na ushapu wako na kukusanya pesa nyingi sana
jinsi ya kuanzisha biashara hii
  1. uwe na  ujuzi kidogo wa marketing administration lakin si lazima kwani biashara ni ujuzi wako binafsi na kadri unafanya ndiyo unaelewa zaidi
  2. ofisi kidogo smart muhimu ili kupatikana kiurahisi na kujenga uaminifu
  3. jenga usihano na wafanyabiashara wakubwa na hudhuria vikao vyao ikibidi
  4. Sikukuu za maonyesho ni gia muhimu kutafuta wajasiria mali madogo na wafanyabiasha wadogo wenye bidhaa za kipekee
  5. chukua mawasiliano yao(bussiness card)
  6. nunua sample ya bidhaa ulizopendezwa nazo
  7. chukua sample zako kwa wafanyabiashara wakubwa uliojenga usihano nao tayari na umshawishi

Biashara hii ni moja biashara inayozalisha matajiri wengi sana kwa waliona ujuzi nao na pia inahitaji umakini mkubwa mno la siyo kila siku hautambulia chochote wewe ndio daraja  daraja halina thamani kama pande hizo mbili zikikutana naam ni hivi mwanzoni kamwe usikutanishe kazi kwani yako haitakuwapo tena

SALES CONSULTANT = Mshauri masoko