jiajiri kwa kuanzisha kituo cha mazoezi(gymnasiums)
John Kamau alianzisha kituo cha mazoezi mwaka 2012 jijini Nairobi kwa $900/= leo kwa mwaka anapata faida ya $8,400/= kwa mwezi.Sio yeye tu wapo wengi wanaoingiza faida kubwa kutoka na biashara hii.Kutokana na mitindo ya maisha kubadilika unene kupita kiasi ni changamoto kubwa kwa maisha ya binadamu unaweza kutumia fursa hiyo kusaidia binadamu na kujiingizia fedha nyingi mno.
Jinsi ya kuaanza:
1>fanya utafiti
je upo sehemu yenye watu wa kipato cha kati, cha juu.Biashara hii inafanyika kwenye maeneo ya watu wa kipato cha kati na juu.
2>Tafuta sehemu sahihi
Eneo lililo na hewa safi,kubwa kidogo, mazingira yanayovutia pasipo na kelele nyingi.
3>Tafuta wataalam wa viungo kwa ushauri
5>Tafuta vifaa muhimu vya kuanzia kama
6>Jitangaze sehemu mbalimbali huku ukisisitiza umuhimu wa afya na faida ya mazoezi andaa vipeperushi na kusambaza ofisini na sehemu mbalimbali.
MAJINA YA VIFAA MUHIMU NA KAZI ZAKE.