Kila sekunde 52 watu wawili huanza mahusiano mapya ya kimapenzi, kila sekonde 93 mahusiano hukaribia kuvunjika, kati ya hayo 43.2% huvunjika kabisa,Pia huenda kila baada ya masaa 4 talaka ya wanandoa moja hutolewa duniani.America pekee mwaka huu tar 14/02/2016(siku ya wapendanao)   $18.9Bilioni zilikusanywa kama faida kutokana na sherehe hiyo.Hata wewe huenda ulitumia pesa nyingi sana siku hiyo kuanzia kununua kadi,maua bandia, kutoka sehemu ambayo hujazoea, kula pizza au chakula ukipendacho, vinywaji, n.k..
Blog hii si ya mapenzi na haitoe arcticle za mapenzi, hausomi blog hii kwa sababu unataka ujuzi wa mapenzi bali unasoma kutaka kuanzisha biashara yenye fedha nyingi kwa siku zijazo.Na mimi nataka tuendee taratibu sehemu hiyo husika na kukufanya wewe unuse harufu ya pesa na kuzifuata zilipo, sitakupata wazo la biashara katika mausihano kwa sababu ni mojawapo ya sehemu pana mno na wachache huzielewa na kuzifanyia kazi mimi nitakupa matatizo(ya mausihano) wewe ubadilishe yawe mtaji kwako.
Huenda upo kwenye mahusiano na kila siku unajitahidi kuboresha lakini bado mabonde na milima ni mingi, umeenda kwa wazee, padri mashehe, wachungaji lakini bado.Unakosa kitu kimoja tu ujuzi sahihi wa mausihano(love psychological).
Huenda ukawa muhanga wa wapenzi(mimi nishawahi) kitu gani ulifikiria baada ya kufika katika hali hiyo.Huenda ulifikiria kama ungeweza kurejesha siku nyuma jinsi mlikuwa, huenda ulitaka kuomba msamaha ukashindwa, uenda ungetaka ushauri sahihi.
Huenda ndoa yako ikiwa na ugomvi kila siku, mnashindwa kuelewana na kufikia maamuzi ya pamoja kila siku licha ya dua na sala bado mambo magumu.Umekosa nini.Maamuzi sahihi .
Huenda baada ya kutengengana kwa muda wanahitaji kurudiana kutoka moyoni lakini anakosa sababu sahihi.
Matatizo hayo yote unaweza ukatokeza biashara mbalimbali.Unawezaje kuanzisha consultant ya wanandoa kwa njia ya simu, ama ana kwa ana.Doctor Paulo mshauri wa mausihano na kutatua migogoro ya ndoa huchaji shilingi 2000TSH kwa kupiga simu tu pia anauza vitabu venye ushauri vya mausihano(30,000TSH).Anaingiza pesa kuliko mwalimu wa chuo kikuu mwenye degree tatu, kuliko waziri yeyote wa serikali.
Kwanini isiwe kwako ??????

LIKE FACEBOOK PAGE YETU/TUFOLLOW TWITTER KWA MAWAZO ZAIDI