Graphic designer

Bila shaka utakubaliana nasi kwamba katika siku za karibuni kumekuwepo na matangazo mengi kuliko wakati mwingine wowote.Kuanzia mabango makubwa makubwa hadi mabango madogomadogo yamejaa kote na itaendelea kuwa hivyo hata zaidi.Pia urembeshaji wa picha na kuzingarisha zaidi, Video Editing, Logo, Printing, Animations Designer, n.k. ni fursa zilizopo sikuzote.

Kama unaujuzi fulani hata kidogo ni inafaa

Unahitaji kuwa na laptop tu na ujuzi wa kuanzia si lazima ujue kila kituna ikiwa huna ujuzi kabisa bado unaweza kujifunza SASA sisi tunaweza kutumia course zote za msingi kwa njia ya video(zinapatikana kwa kingereza tu) ambazo zitakufanya uwe na ujuzi wote unaohitaji kuwa GRAPHIC DESIGNER kwa miezi mitatu pekee na kwa gharama ndogo.