Mwandishi

 Katika siku za karibuni kumekuwepo mifumo mingi ya kushirikishana habari kupitia mitandao ya kijamii, blogs, n.k.

Kutokana mifumo hiyo watu wanahitaji kupata taarifa zilichambuliwa, burudani(riwaya, hadithi) zilihaririwa vema.

Kampuni ningi kutia ndani NGOs zimekuwa na uhitaji mkubwa wa kuhariri taarifa zao kama kutokeza tafsiri za lugha, picha, michoro, katuni n.k. hii ni biashara inakuwa kwa kasi sana.

Si lazima uanzishe biashara yako mwenyewe kuna mifumo ipo tajari inahitaji waandishi mfano UpWork.

Ili kuanzisha biashara hii unapashwa uwe na ujuzi wa lugha pekee.Ikiwa wewe ni mtunzi mzuri basi una nafasi kubwa pia katika ulimwengu wa sasa kuwa mtunzi wa hadithi, nyimbo, sera, n.k. ni mojawapo ya fursa kubwa duniani.

Sio lazima uwe na kipaji cha sauti, tunga mashairi wape watu waimbe hii ni fursa kubwa sana.

Kuna hadithi, maigizo, n.k. ni mojawapo ya fursa zilizopo.Hakika hii ni fursa kubwa sana.