Hii ni ya kwanza kabisa kati ya biashara ndogo ndogo ambazo mtu anaweza kufikiria; mtu anaweza kimsingi kushauriana juu ya karibu kila jambo na kila kitu. Hebu fikiria ujuzi wowote maalum katika mambo fulani, unaweza kupata mapato ya kuridhisha kutoka humo. K.m. ushauri wa ndoa, ushauri wa biashara, ushauri wa kisheria, ushauri wa mali, ushauri wa kielimu, mshauri wa vyombo vya habari, n.k. Sio lazima mtu awe na mtaji wowote ili kuanza kushauriana, ni baadhi tu ya namba kwenye simu yako, barua pepe.Unaweza kupata taarifa nyingi kwa kusoma vitabu, kutembelea taasisi husika ikiwa ni mambo ya tiba, kibiashara au elimu iwe ya kati au elimu ya juu.
Kadiri unavyokuwa unavyokuwa unaweza kuanza warisha, vitabu, au hata kutoza gharama kidogo kwa watu wanaopiga simu kwako wanaweza katwa gharama fulani kwenye vocha ili kuongea nawe.
Tazama video ya dada alijipatia milioni 60 kwa kuwa msaidizi/mshauri/dalali kwa watu wanaotafuta bidhaa (Video copyright & credit:Milard ayo TV)