Katika maeneo yote ya kazi kama ofisini, kiwandani, mashuleni, hospitalini, vyuoni, kwenye ranchi za mifugo, hotelini na majumbani usafi ni muhimu na kitu endelevu na  kila siku.Kutokana na umuhimu huo unaweza ukajiajiri kwa kufungua kampuni  cha kutoa usafi maeneo hayo  na kujipatia faida kubwa kwa mtaji mdogo tu.
Dondoo kuanzisha kampuni ya usafi
*Kuwa uwezo wa kuratibu mambo(organization and management)
*Mtaji  kwa ajili ya kununua vifaa vya usafi na makoti/tisheti ya kampuni yenye nembo pia akiba kwa ajili ya kuendesha kampuni
*Maelezo ya huduma inayotewa na kampuni yako kwa ufasaha.
* Vijana wa kuajiri
*sajili kampuni yako
*ofisi kwa ajili ya kampuni