ujuzi unahitajika..
Je wewe ni kijana ulihitimu angalau kidato cha nne na kuendelea na unahitaji kuingiza pesa kwa siku chache zijazo.Basi hii inakuhusu sana
Kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia, computer zimezidi kuongezeka mikono mwa watu na hii inaweza kukusaidia kufanikiwa sana kama kina Bill Gate, Steve Jobs na wengineo.
Jifunze kozi  ya computer na programu muhimu kama word processing, photo manipulation, adobe photoshop, office, na programu ulinzi kama Antivirus na nyinginezo....
Tafuta ofisi sehemu ya wazi na yenye shughuli za kiofisi kama vyouni, karibu na shule, ama katikati ya mji...
Tangaza biashara yako kwa vipeperushi na mabango kwa mfano tembelea vyuoni, maofisini na kugawa vipeperushi.
Wengine walivyoanza
























Picha:Bill Gates kwenye ofisi ya kwanza ya Microsoft
(picha na microsoft Inc)
Picha:Bill gate akitembeza programu zake ofisi mbalimbali na kuwashawishi wateja.Leo Bill ni tajiri wa kwanza dunia(picha na microsoft Inc)
                  "kieleacho ujue kimeundwa"

Usisahau kulike facebook page yetu/tufuate twitter kupata mawazo zaidi