1. Kupika kwa oda.

Jinsi ya kufanya.

Fanya utafiti wa soko ili kujua watu wanapenda kula nini wakati wa chakula cha mchana na ni kiasi gani wako tayari kutumia kisha tengeneza menyu yako na bei. Anza na maeneo ya karibu na wewe na unaweza hata kupata marafiki na familia ili kupata habari wapi wanafanya kazi. 

Pika kwa kiwango vihavyohitajika usafi kuanzia vyombo na muonekana wa mleta chakula ni jambo kuu kwenye biashara ya chakula, mapishi na matunda kidogo huongeza wateja wa uchumi mdogo na wa kati.Pia muda wa kupeleka chakula ni kipaumbele kwa wateja wa ofisini na viwandani. 




2. Urembo(kusuka,makeup,kucha)

Ukiwa na mtaji unaweza nunua vifaa vyote vinavyohusu urembo na kutoa kibarua kwa malipo ya siku kwa watendaji.

3. Kutembeza watalii.

Maelezo.

4. Kufundisha ( Mobile Tuition)

Ikiwa umesoma ualimu basi anza na mobile tution kwa kufuata wanafunzi manyumbani mwao hasa kwa kujitangaza vema kwa watu wenye uchumi wa kati na juu.



5. Biashara ya saluni ya kiume




6. Kuuza maua