Biashara ya chakula ni biashara inayolipa inakitegemea sehemu unapofanyia, idadi ya watu, usafi, ubora wa chakula na eneo la walaji.Kutokana na upungufu wa eneo na usafi baadhi ya mamalishe wamekuwa wakibeba chakula kwa nyia ya ndoo kupelekea wateja wao maeneo ya kazi biashara hiyo unaweza kuifanya kwa ustadi mkubwa na kuingiza hela nyingi mno kwani utafikia wateja wenye kwa wakati mmoja huduma hii inaitwa mobile food services kwa kutumia gari kama van, noah, pickup, kirikuu unaweza sambaza chakula nusu ya mji na kufikia wateja zaidi ya mia tatu(kwa chini kabisa) tuseme unauza kwa bei ya 1000(kiwango cha chini kabisa) na mchele wako wa mbeya.
***********Mapato*********************************
kwa siku unaweza kuingiza 300 mara 1000(300*1000=300000)Laki tatu
kwa mwezi(siku 28 toa jumamosi ya jumapili)unaweza kuingiza 300000*20=6,000,000(milioni sita)
***************Gharama*****************************
kwa siku inagharimu 600 kutengeneza sahani moja( kilo moja inaliliwa watu saba )600*300=18,000(laki na themanini)
gharama kwa mwezi 180000*20=3,200,000
*******************Faida************************
Mapato 6000,000
- Gharama - 3200,000
........................... .........................................
Faida 2800,000
gharama zilizozidi na kuongezeka toa laki nane 200,0000 inabaki mfuko mwako.Kuanza biashara hii unatakiwa uwe nagari dogo kama noah, pick up ama pikipiki ya magurudumu matatu na wasaidizi mmoja au wawili wenye kauli, sufuri za kutosha, hot pots kubwa pia chunguza sehemu zenye watu wengi wanaofanya kazi kama beach, sehemu za ujenzi, viwandani na viti vinavyobebeka kwa urahisi kama viti vykukunya.
good luck