je wewe ni mjuzi wa kupanga sherehe ama umeshawahi kupanga sherehe zaidi ya moja na kufanikwa bila mapungufu?
je unaweza panga sherehe yoyote kwa fedha ndogo au fedha nyingi na kuweka vitu vyote vya msingi na kutosha vizuri?
Basi hii inakuhusu sana jitangaze sasa kwa kupitia njia mbalimbali kuwa wewe unaujuzi wa kufanikisha sherehe kwa bajeti iliyopo na kukamilika.Watu wanaofanya sherehe huumiza vichwa na ikibidi hukopa hela kwa kushindwa kupanga bajeti ya sherehe ndogo tu......
Wengine hushindwa kupanga bajeti ya fedha nyingi sana na watu wakiambiwa sherehe ilitumia milion kadhaa hukataa kwani hawakuona chochote cha maana sana hii inatokana na wapanga bajeti kutokuwa na ujuzi.
KAMA UNAUJUZI HUU WA KUPANGA SHEREHE YA LAKI KADHAA IWE NZURI KAMA YA MILIONI KADHAA
Unaweza kuwatoza fedha na kuwapangia sherehe zao