Kazi ya kuangalia watoto siyo ya vijana tena.Kama unapenda watoto wadogo hii inakufaa na kujipatia pesa.Kazi yako ni kutunza watoto wakati wazazi wao wakiwa na shuguli fulani ama kazini.Unaweza kuweka sehemu nzuri za kucheza, kuimba, hata kuwafundisha hadithi kwa muda fulani na kisha wazazi wao kuchukua muda mwingine na utakuwa unawatoza fedha kidogo kwa uangalizi unaweza fahamika kwa kujitangaza sehemu za ibada.kazi hii nategemea ukarimu kwa watu.Kazi hii mara nyingi ufanywa na wanawake pia hivyo kama wewe ni mwanaume shirikiana na mkeo kuanzisha biashara hii ina fedha za kutosha tu.
dondoo muhimu kuanzisha baby care
  • mazingira masafi
  • tafuta kibali na fuata utaratibu
  • ondoa vitu hatarishi katika maeneo ya watoto
  • onyesha ukarimu na upendo
  • eneo la michezo ya watoto
hakuna biashara ambayo haina faida na hii inafaida kubwa kwa watakaoiweza
Kituo cha baby care iringa-kiesa Tanzania kina watoto angaluo 36
ada ya mtoto kwa mwezi ni 50,000Tsh
mapato yao kwa mwezi 50,000*36=1,800,000Tsh BAKI NASI KARIBU ZAIDI UENDELEE KUPATA MAWAZO YENYE FAIDA NA KUKAMILISAHA NDOTO ZAKO LIKE FACEBOOK PAGE YETU, TUFOLLOW KWENYE TWITTER TUMA MAWAZO NAMBA HAPO CHINI