mavazi ni mojawapo ya mahitaji muhimu ya binadamu.Kwa sasa biashara inayokua zaidi ni ya mitumba na ina faida kubwa sana  kutokana na aina ya nguo.Kwa mfano robota grade one moja ya lina faida mara mbili thamani iliyonunuliwa nayo.Sio kila mtumba zinalipa bali uchaguzi wa nguo nzuri.
Unaweza ukaanza kidogo kidogo na kisha kuendelea Taratibu
Kwa mfano mashati grade one-two ya mtumba jijini dar-es-salaam ni shilingi 3000 na mikoani shati hilo hilo shilingi 7000.Biashara hii inatoa fursa kwako kuanza na mtaji mdogo na kuendelea taratibu