Hakuna idadi ya kutosha ya polisi kutoa ulinzi kila mahali mjini.
Kuna idadi kubwa ya vijana walio na mafunzo ya ulinzi wasio na kazi.
Hii ni nafasi kubwa kwa ajili ya kufungua kampuni ndogo za kutoa ulinzi majumbani,
mashuleni, vyuoni, taasisi ndogo na kubwa, hotelini, na kwenye sherehe na tafrija mbalimbali.
Dada Divine Ndhlukula ni mjasiriamali mwenye mafanikio makubwa katika kampuni ya
ulinzi zimbabwe.Alianzisha kampuni yake ndogo SECURICO mjini Harare ambapo ilikuwa na ofisi ndogo na walinzi watano tu na alikuwa na mtaji mdogo sana.Leo dada Divine kampuni yake ina ina $13million(26,000,000,000/=Tsh) na walinzi zaidi ya 3,000.
Unaweza ukamsoma zaidi Divine Ndhlukula kwenye forbes bofya HAPAUsisahau kulike facebook page yetu/tufuate twitter kupata mawazo zaidi