Kutokana kuongezeka ka biashara ya mtandaoni unaweza kuanzisha Huduma ya kusafirisha mizigo nchini.Huenda mtu wa mkoani ameagiza mzigo wake Dar es salam lakini anafikiria usalama wa mzigo mpaka utakampofikia hii ni changamoto kubwa sana kwa wateja wa mikoani.Hii inatoa fursa kwako kuanzisha kampuni ya kuhakikisha usalama wa mzigo kutoka muuzaji mpaka kwa mnunuzi na kuakikisha usalama wa mzigo. Kampuni za usafirishaji zina faida kubwa sana kwani kuiendesha(runnig cost) siyo gharama kubwa kwa sababu huna bidhaa, kazi ni kuhakisha mzigo unafika salama.Kukuonyesha hiki natumia kampuni ya DHL mojawapo ya kumpuni kubwa kabisa dunia

Trading name    Deutsche Post DHL    
Revenue                   €56.63 billion (2014) = 138.1Trilion TSH
Operating income    €2.965 billion (2014)
Profit                   €2.016 billion (2014)=4.92Trilion TSH
Total assets    €38.40 billion (2011)
 NOTE  1€=2438.83TSH ...(28 february 2016)
Kampuni hii inafanya kazi dunia nzima.Kwa mtaji mdogo unaweza fungua center kwenye miji muhimu na kuajiri vijana wachache kukusaidia hii itakuletea  faidha kubwa sana.Wengine wanaweza fikiria kuhusu Posta, EMS, mabasi nakadhalika kama kikwazo katika hii biashara lakini nishapata kutumia huduma hii kutoka arusha kwenda Dar es Salaam.Kwa gharama kubwa mno na usalama wa kifaa ulikuwa hatarini nilipofika kisutu(stendi ya zamani)  kufuuta kifaa nilikutana na stoo yenye vitu chungu nzima(hii inonyesha uhitaji ni mkubwa katika sekta hii jaribu  na wewe kutembelea) kwa nini wewe usianzishe huduma kwa urahisi na kwa usalama zaidi.Nakushauri kama wewe unahitaji kuwa bosi miaka michache hii ni sekta nyeti sana.
KUWA KARIBU NASI ZAIDI KWA KULIKE FACEBOOK PAGE  YETU AU TUFUATTE TWITTER