Trading name Deutsche Post DHL
Revenue €56.63 billion (2014) = 138.1Trilion TSH
Operating income €2.965 billion (2014)
Profit €2.016 billion (2014)=4.92Trilion TSH
Total assets €38.40 billion (2011)
NOTE 1€=2438.83TSH ...(28 february 2016)
Kampuni hii inafanya kazi dunia nzima.Kwa mtaji mdogo unaweza fungua center kwenye miji muhimu na kuajiri vijana wachache kukusaidia hii itakuletea faidha kubwa sana.Wengine wanaweza fikiria kuhusu Posta, EMS, mabasi nakadhalika kama kikwazo katika hii biashara lakini nishapata kutumia huduma hii kutoka arusha kwenda Dar es Salaam.Kwa gharama kubwa mno na usalama wa kifaa ulikuwa hatarini nilipofika kisutu(stendi ya zamani) kufuuta kifaa nilikutana na stoo yenye vitu chungu nzima(hii inonyesha uhitaji ni mkubwa katika sekta hii jaribu na wewe kutembelea) kwa nini wewe usianzishe huduma kwa urahisi na kwa usalama zaidi.Nakushauri kama wewe unahitaji kuwa bosi miaka michache hii ni sekta nyeti sana.
KUWA KARIBU NASI ZAIDI KWA KULIKE FACEBOOK PAGE YETU AU TUFUATTE TWITTER